sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » LINK CLASSIC INAWATAKIA WASOMAJI WAKE KHERI YA MWAKA MPYA 2018

Tumeingia mwaka mpya wa 2018, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa Mipango na Mikakati katika shughuli zao za kila siku ikiwemo utumiaji mzuri wa Mitandao wetu wa Link Classic ,  na mitandao yetu ya kijamii kwa ujumla.
Kwa dhati kabisa tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya . Tunashukuru kuwa pamoja na familia ya Link Classic Group tunaomba mzidi kuhamasisha na wengine wengi kuwa miongoni mwa familia, ili wapate habari kutoka kwetu.
Tunatoa Shukrani kwa wasomaji wetu wote huku pia tukikaribisha maoni, mapendekezo, ushauri na changamoto yoyote ile mnayokumbana nayo wakati wa kuitumia website yetu ya Link Classic
Asanteni sana, na Kheri ya Mwaka Mpya!

jiunge na group la whatsapp  kupata habari haraka bofya hapahttps://chat.whatsapp.com/4kY5fx3UtyA3xYw5uk3NvFKWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply