UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Benki kuu ya Tanzania (BoT)imepanga kuondoa noti zote za
shilingi mia tano ndani ya miezi minne ijayo kutokana na
uchakavu.
Mkurugenzi wa kurugenzi ya usimamizi wa mabenki Martian
Kobelo amesema sarafu za shilingi mia tano zimeshasambazwa
kuziba pengo la noti na wananchi wanapaswa kupeleka noti ili
zoezi liende kwa haraka.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI WAKIELEZEA KUONDOLEWA KWA NOTI HIYO
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: