.
Leo kama kichwa cha habari kinavyoonesha hapo juu tutajifunza
jinsi ya kutengeneza chaki za aina zote.
Tofauti ya chaki inatokana na malighafi inayotumika kutengenezea
chaki husika mfano rangi na aina ya chokaa inayotumika.
MARIGHAFI;
1.CHOKAA NYEUPE.
2.MAJI
3.RANGI(Kama unahitaji iwe ya rangi)
4.FOIL PAPER(MAUMBO)
5.MOTO
HATUA YA KWANZA
Chukua chokaa kilo moja iliyochekechwa na kupata unga ulio safi,maji lita moja,rangi 10mls.Changanya mchanganyiko huu kwa pamoja upate uji mzito na ukoroge kwa dakika kumi na tano.
HATUA YA PILI.
Weka mchanganyiko wako katika maumbo yako ya vibox au bati ambazo zimekatwa katika shape unayoitaka.
Weka juani chaki zako mpaka zikauke.
Zitoe kwenye maumbo uziweke jikoni na kuzichoma kama unavyochoma matofari au vyungu mpaka ukiishika uone inatoa vumbi na ukiidondosha ikatike vipande viwili au zaidi.
CHAKI ZAKO TAYARI PAKI NA KUZIPELEKA SOKONI.
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
Mpo vzr
ReplyDeleteMpo vzr
ReplyDeleteMpo vzr
ReplyDeleteAhsante kwa elimu ni chokaa ipi inatumika?
ReplyDelete