sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » JINSI YA KUTENGENEZA MISHUMAA


             MAHITAJI:

1.Paraffin wax



*Sterine(kikorogeo)


3.Boric Acis


4.mould(maumbo)
 -yawza kua pia grass ya wine kwa mishumaa ya zawadi 


5.uzi


6.Rangi(ukipenda)


7.Perfume(ukipenda)


8.Jiko


9.Sufuria



MAADALIZI;

a)Andaa maumbo(mould)ya mshumaa kwa jinsi upendavyo ww kwa ubunifu wako.



b)Kuandaa utambi;
>Chukua Boric Acid vijiko 5 vya chakula,changanya na maji vijiko 4 vya chakula,Koroga kwa mdaa wa dakika 5,na kisha tumbukiza utambi wako ukae kwa mdaa wa dakika 5,Anika ukauke.Sababu ya kufanya hivi ni kutengeneza UTAMBI wako usiishe haraka na usitoe Moshi,na ndio kazi ya Boric Acid.

                           KUTENGENEZA MSHUMAA
Baada ya kuwa umeaandaa maumbo yako ya mshumaa (mould)chukua utambi wako weka katikati ya chombo chako kwa kushikiza na ute wa mshumaa,funga utambi wako juu ya chombo kwa kijiti hii itakusaidia utambi wako usikae pembeni.

Washa jiko lako na,weka sururia jikoni chukua Paraffin wax kilo 1,sterin vijko 4, rangi na ikifuatiwa Perfume kijiko 1(rangi na perfume kama ukipenda)wakati mchanganyiko wako unayeyuka koroga taratibu kuhakikisha mchanganyiko wako umechanganyika vizuri,Epua na anza kumimina mchanganyiko wako kwenye maumbo yako,

Weka sehemu yenye kivuli na baada ya kuwa mchanganyiko wako umeganda,ondoa mshumaa taratibu kutoka kwenye maumbo yake.Hivyo mshumaa wako utakuwa tayari kwa matumizi na tayari kwa kwenda Sokoni.


Karibuni sana

"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply