sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » WAZIRI JAFO HAJARIDHISHWA NA UTENDAJI HUU

December 29 2017 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo ametembelea ujenzi wa makazi ya viongozi wa wilaya wa Ikungi mkoani Singida ambapo amewashukia Wakala wa Majengo nchini ( TBA) kutokana na kusuasua kwa ujenzi wa miradi mbalimbali ya serikali waliyopewa na Tawala za Mikoa na Mamlaka za serikali za Mitaa(TAMISEMI).
Jafo ameonyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa TBA alipotembelea wilayani hapo ambapo muda uliopangwa kukamilisha kazi hiyo umeshapita huku kazi ikiwa bado haijakamilika ambazo zinagharimu kiasi cha Sh.Milioni 700.
“TBA mmekuwa na matatizo katika maeneo mengi sana kama hamuwezi mtuambie muendelea na kazi mnazopewa na serikali kuu, sisi huku serikali za mitaa mtuache tuwape watu wengine, wapo watu wanajengaa vizuri na kwa wakati kuliko nyinyi tutawapa hata Suma JKT ambao pia wanao watu katika kazi kama hizi,” – Jafo
Jafo ameitaka TBA kukamilisha majengo hayo haraka kabla ya mwezi Februari mwaka 2018 kwani viongozi wa wilaya wanateseka kwa kukosa makazi na Ofisi na pia ujenzi wa shule Kongwe walizopewa watoto, wanakosa miundombinu bora.
jiunge na group la whatsapp  kupata habari haraka bofya hapa
KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply