sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » UNAJUA NI KWANINI HAUNA PESA? (SOMA HAPA) ITAKUSAIDIA

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Inawezekana ukawa unafanya kazi ama biashara nzuri inayokuingizia kipato cha kutosha lakini kutokana na sababu usizozijua huwa ukijikuta ni mtu wa kuishiwa na kujikuta kuwa huna pesa. Kama umekuwa ukiishi hivi na kuwa mtu wa kuishiwa na kushindwa kuwa na pesa za kutosha , makala hii ni muhimu sana kwako. Je, unajua ni sababu zipi zinakufanya ushindwe kuwa na pesa ya kutosha katika maisha yako?


Hizi hapa

1. Una tabia mbaya zinazokuzuia kupata pesa. Kama ulevi, matumizi mabaya ya pesa, kuangalia TV kwa muda mrefu. n.k
2. Unazungukwa na watu wengi ambao sio sahihi kwako.
3. Umekuwa mwongeaji sana bila kuchukua hatua. 
4. Hauna mipango maalumu.
5. Umekuwa ukikata tamaa mapema.
6. Umekuwa ni mtu wa kupoteza muda sana.
7. Umekuwa huna tabia ya kujiwekea akiba.


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana

 +255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"FOR MORE INFO PLEASE"

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply