UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amezitaka taasisi ya utafiti wa kilimo, mifugo na chuo cha kilimo Uyole kuwekeza katika utafiti na kutoa wataalaam bora wa kilimo na mifugo ili kuendekeza kilimo kwa lengo la kujitosheleza kwa chakula na zaidi kuwa na malighafi ya viwanda
Rais anataka nchi ya viwanda hivi ili viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vitategemea malighafi za ndani na kama tutalipa kitaalam, Mbegu bora zikapatikana na pembejeo kilimo kitawezesha viwanda kupata malighafi hapahapa nchini
Amesema nchi yeyote isipowekeza katika utafiti nchi hiyo itapata matatizo kwasababu Mbegu bora za mifugo na Mazao zitapatikana kwa utafiti, uongezaji thamani Mazao lazima ifanye utafiti kwenda na wakati na teknolojia ya usindikaji Mazao kuongeza thamani hivyo taasisi za Uyole zima jukumu kubwa za kuleta mapinduzi ya kilimo
Aidha amewataka maafisa kilimo ,vikundi vya wakulima na wafugaji kufika Uyole kujifunza mambo mbalimbali ya kilimo na ufugaji wa kisasa ili kuongeza uzalishaji wa Mazao na m na ufugaji wenye tija
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: