UNGANA NA
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
HOT NEWZ
Zaidi ya shilingi bilioni 4 zimekusanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB), katika siku 30 za mwanzo walizozitoa kwa wanufaika wa mkopo kurejesha fedha wanazodaiwa na waajiri kupeleka majina ya waajiriwa.
Mkurugenzi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa Bodi hiyo, Cosmas Mwaisobwa, amesema kuwa muitikio ni mzuri kwani kwa siku wanapokea watu 80 hadi 100 wanaokwenda kuchukua fomu za kiasi wanachodaiwa huku jumla ya wahitimu 20,341 wametambuliwa kuwa wanadaiwa na bodi hiyo ya mikopo.
Aidha Mwaisobwa amesema kuwa kiasi cha pesa kinachokatwa na HESLB kila mwezi ni asilimia 8 ya mshahara wa mtu hivyo kiasi kitakachokatwa kitatofautiana kati ya mtu mmoja na mwingine.
Amesema zitakapokamilika siku 60 ndipo watakapofanya tathmini ya jumla kujua iadadi kamili ya wahitimu waliomaliza na wale wasiomaliza madeni yao.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: