sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MOISE KATUMBI AKABILIANA NA ‘MAKOMBORA’ YA KABILA

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA 
HOT NEWZ

Utafiti uliofanywa hivi karibuni na Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) juu ya tathmini namna Vyombo vya Habari vilivyoripoti Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana, ulibaini baadhi ya wanawake katika maeneo mbalimbali walikabiliwa na vitisho wakilazimishwa kuchagua ama kutochagua chama fulani.

Wakati changamoto hizo zikiikumba Tanzania ambayo tayari imekwisha pata uongozi wake kupitia Serikali ya Awamu ya Nne, nchini Demokrasia ya Congo Mfanyabiashara Maarufu na Mmiliki wa Klabu ya Soka ya TP – Mazembe, Moise Katumbi ameishukia Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa madai ya kumuundia zengwe ili kumkatisha tamaa ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu unaotazamiwa kufanyika Novemba mwaka huu.

Moise Katumbi ambaye aliwahi kuwa Gavana wa zamani wa Jimbo la Katanga  na swahiba wa karibu wa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa zaidi ya miaka kumi, amefikia hatua hiyo baada ya kuona idadi kubwa ya Askari Polisi kwa kushirikiana na Maafisa wa Idara ya Ujasusi wakipiga kambi karibu na nyumba yake.

Taarifa toka kwa mwanasiasa huyo zinasema vitisho hivyo vimeanza pale alipotangaza nia yake ya kuwania katika kinyang’anyiro cha urais mwaka huu ambapo amedai kwamba Askari Polisi na Maafisa wa Idara ya Ujasusi walisitisha kupiga kambi karibu na makazi yake baada ya Kikosi ya Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa (MONUSCO) kuwasili eneo hilo.

Hata hivyo Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imekanusha vikali madai  ya Katumbi na kusisitiza hayana ukweli wowote.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp



TWITTER    

LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply