sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » HUDUMA YA X RAY SASA YAPATIKANA MJINI TARIME NI JUHUDI ZA MH. LUOGA

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Hatimaye huduma za X-Ray zimeanza kutolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya juhudi a zinazofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tarime(DC) Mh Gloriousluoga Luoga kuboresha huduma katika hospitali hiyo kuendelea kuzaa matunda.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Tarime(DMO) Dr Calvin Mwasha amethibitisha leo kuwa tayari huduma za X-Ray zimeanza kutolewa hospitalini hapo baada ya huduma hizo kutokuwepo kwa takribani miaka miwili.
“ This is good news(hii ni habari njema) kwetu na kwa wakazi wa Tarime kwani sasa Machine yetu ya X-Ray inafanya kazi baada kufanyiwa matengenezo”, Dr Mwasha aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake leo mchana.
Ukosefu wa huduma za X-Ray katika hospitali hiyo umekuwa ukisababisha shida kubwa kwa wagonjwa.
From Mara Habari

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki, bila kusahau kuwashirikisha rafiki zako kutembelea website hii. 
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp


Karibu sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 


"FOR MORE INFO PLEASE"

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply