sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » VIDEO RAIS MAGUFULI ALIVYOAHIDI KULIPA BILIONI 200 MADENI YA NDANI MWEZI UJAO


Bofya hapa kutazama video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kuwa wezi ujao serikali itaanza kulipa madeni ya ndani yatakayokuwa yamehakikiwa.

Rais Magufuli ameyasema hayo Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo baada ya kuagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake, Prof. Benno Ndulu na kueleza kuwa, mwezi ujao Serikali itatoa Shilingi Bilioni 200 kwa ajili ya kulipa madeni ya ndani yatakayokuwa yamehakikiwa, yakiwemo ya wazabuni mbalimbali waliotoa huduma katika taasisi za Serikali, madai ya walimu na madai ya wakandarasi.

“Nasisitiza madeni tutakayolipa ni ya ndani, na tutalipa madeni ambayo yamehakikiwa, kwa hiyo maandalizi ya kutoa fedha hizo yaanze mara moja na ni matarajio yangu fedha hizi zitasaidia kuchochea ukuaji wa uchumi wetu” amesema Mhe. Rais Magufuli.

jiunge na group la whatsapp  kupata habari haraka bofya hapa

https://chat.whatsapp.com/4kY5fx3UtyA3xYw5uk3NvF

KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

1 maoni:

  1. Hello,
    Hii ni kuwajulisha kwa ujumla kwamba Mheshimiwa John Kerry Jemmy, mkopeshaji binafsi, ana fursa ya kifedha kwa mtu yeyote anayehitaji msaada wa kifedha kwa wanafunzi, mikopo ya kibiashara, mikopo ya uwekezaji, uimarishaji wa madeni na mengi zaidi. Umekataliwa na mabenki na mashirika mengine ya kifedha? Usione tena, kwa sababu tuko hapa kwa matatizo yako yote ya kifedha, tunatoa mikopo kwa kiwango cha 2% kwa watu binafsi na makampuni katika hali wazi na inayoeleweka. Hakuna kuangalia hundi ya mikopo, 100% ya uhakika. Wasiliana nasi leo na utakuwa na furaha kufanya hivyo kwa sababu tuko hapa kutimiza tatizo lako lote na historia ya kifedha.

    Tutumie barua pepe kwa: (creditcashexpress8@gmail.com)

    ReplyDelete