Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inatarajia kuanza kuwasaka wadai sugu 100,000
Akizungumza leo Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul Badru amesema Januari 8 wataanza kuwasaka wadai hao ambao mikopo yao inafikia Tsh. Bilioni 285.
“Kiwango kilichoiva mbacho kipo mikononi mwa hawa sugu ni bilioni 285 na hii inajumuisha wote tangu shughuli za ukopeshaji zilivyoanza, tangu mwaka jana wamefanikiwa kuwapata wadai 26,000 ambao ni sugu,” amesema.
Ameendelea kwa kusema malengo yao ni ifikapo mwezi wa saba mwaka huu makosanyo ya mwezi yaongezeke kutoka wastani wa bilioni 13 hadi 17.
jiunge na group la whatsapp kupata habari haraka bofya hapa
https://chat.whatsapp.com/4kY5fx3UtyA3xYw5uk3NvF
KWA HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: