sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MADHARA YA KUTOA MIMBA



UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Miaka ya hivi karibuni kumeongezeka vitendo vya utoaji wa mimba, hasa kwa kutumia madawa yenye kemikali, madawa ya kienyeji, hii imezidi sana haswa kwa nchi zinazoendelea ambazo nyingi zipo Africa ikiwemo Tanzania.


Wanaotoa mimba sana ni wasichana wadogo ambao wengi wanaanza kutoa mimba wakiwa kuanzia shule za msingi hadi kwa wale walioko vyuo vikuu ambao baadae hukumbana na matatizo makubwa kama ifuatavyo.

1. Tatizo kuu la hatari zaidi ni kifo. 
Imekadiriwa kuwa karibu theluthi moja ya vifo vya kina mama ni kwa sababu ya utoaji wa mimba kwa njia isiyo salama. Kwa kila mwanamke anayekufa, imekadiriwa kuwa wanawake wengine 16 hadi 33 huwa na tatizo baada ya kutoa mimba kwa njia isiyo salama, pamoja na: Hemoreji (kutokwa na damu nyingi)

2. Maambukizi katika kaviti ya pelvisi, au katika mkondo wa damu. (kwa mfano, pepopunda) 
3. Kutoboka kwa uterasi (kushona mraruko wa kuta za uterasi kwa kifaa kilicho na ncha kali. Jerahi lililokaribu na ogani katika kaviti ya pelvisi (kwa mfano, uke, kibofu cha mkojo, rektamu na utumbo) 4. Sumu kutokana na dozi ya dawa iliyozidi kipimo chake au mitishamba inayotumiwa kutekeleza utoaji mimba wa kupanga. Hapo baadaye, 
5. Mwanamke anaweza kuugua kutokana na maumivu ya pelvisi yanayoendelea kwa muda mrefu (yanayojirudia), hasa wakati wa hedhi, mimba kutoka pekee yake unaojirudia au utasa.


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana



Karibuni sana

LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI"

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply