sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MADHARA YA KUPIGA DENDA NA IDADI YA BACTERIA UNAOWAPATA KILA UFANYAPO TUKIO HILO

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Kupiga Denda (Romancing) ni moja kati ya matendo yanayopendwa na watu wengi kwani huamsha hisia za kimapenzi, Lakini umewahi kujiuliza kuwa kuna uwezekano wa kubadilishana bakteria wengi wakati wa tendo hilo?


Kwa mujibu wa wataalamu bakteria hao husababishwa na mambo mengi, wengine kiasili hupatikana kwenye mate na wengine husababishwa na mabaki ya chakula yanayobaki kinywani.

Sasa wataalamu wanasema unapogiga denda (Romance) unaweza kubadilishana na mwezi wako bakteria kati ya milioni 10 mpaka bilioni 1


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply