sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » WANANE WAUAWA KIKATILI TANGA, TANZANIA.

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

Uchunguzi kuhusiana na mauaji ya kutisha yaliyojaa utata unaendelea kufuatia kuuawa kwa watu wanane mkoani Tanga Tanzania. Mauaji Hayo Yamekuja Wiki Chache Kufuatia Mengine Yaliyotokea Katika Mikoa Ya Dar Es Salaam, Mwanza Na Pwani.Kuhusiana Na Mauaji Ya Tanga, Kamanda Wa Polisi Mkoani Humo Leonard Paulo Amesema Watu Wanaohofiwa Kuwa Ni Majambazi Waliwateka Wakaazi Wa Kitongoji Cha Mabatini Wilayani Tanga Kutoka Majumbani Kwao Na Kuwaua Kwa Kuwakata Kata Na Mapanga.Mauaji Hayo Yalifanyika Karibu Na Eneo Ambalo Liko Jirani Na Mapango Ya Amboni, Ambapo Februari Mwaka Jana Kulitokea Mapigano Yaliyosababisha Vifo Ikiwemo Askari Polisi Mmoja.Habari Zinasema Wauaji Katika Tukio Hilo La Tanga Walijitambulisga Kama.Akisimulia Maauaji Hayo Yalivyotokea Mke Wa Mmoja Ya Waliouawa Alisema Wakatio Wakiwa Wamelala Waligongewa Na Watu Wasiojulikana Ambao Walijitambulisha Kama Askari Na Kumnchukua Mume Wake Na Kumtaka Wampeleke Kwa Kaka Yake Ambaye Pia Walimuuuapamoha Na Watu Wengine.



LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki, bila kusahau kuwashirikisha rafiki zako kutembelea website hii. 

+255 (0) 652989873 whatsapp


Karibu sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 


"FOR MORE INFO PLEASE"

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply