sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » KAMA NI MTUMIAJI WA YOUTUBE KATIKA SIMU, WAMETANGAZA MABORESHO MAPYA

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

Kama wewe ni mmoja kati ya watumiaji wa mitandao kwa kutumia smartphone yako, basi mtandao wa YouTube umetangaza maboresho katika application yao kwa watumiaji wa simu za mkononi.
YouTube wametangaza kuboresha application yao ya YouTube inayotumika katika smartphone, sasa unaweza kuweka video za YouTube live streaming kupitia simu ya mkononi, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza button katika simu yako na video unayorekodi moja kwa moja itaenda YouTube.
YouTubeConnect1-Cropped
Maboresho hayo ya YouTube kwa application za simu za mkononi, unaweza ukaifananisha na ile application ya mtandao wa Periscope na itakuwa na option ya viewers kuweka comment zao kama kawaida. Mfumo huo wa live streaming kwa simu za mkononi wa YouTube unaitwa ‘YouTube Connect’
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki,
+255 (0) 652989873 Whatsapp / Call

Karibuni sana

LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 


KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply