UNGANA NA
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
HOT NEWZ
Mei 14, mwaka huu, serikali itaanza kutoza tozo kwa vyombo vya usafiri vitakavyopita katika daraja la Nyerere kwa lengo la kufidia gharama za matunzo na usimamizi wa endeshaji wa huduma za daraja hilo
Ambapo watembea kwa miguu watapita bure katika daraja hilo huku wenye baiskeli wakilipia Sh. 300, pikipiki Sh. 600, waendesha maguta, bajaji na magari ya kawaida (Saloon Cars) watatakiwa kulipia Sh.1500, Mabasi yanayobeba abiria 15 yatalipia Sh. 3,000, yale ya abiria zaidi ya 15 Sh. 5,000 na yale yanayobeba abiria zaidi ya 29 yatalipia Sh. 7,000.
Aidha magari yenye tani zaidi ya mbili mpaka saba yatalipia Sh. 7,000, tani 7 hadi 15 watalipa Sh.10,000, tani 15 mpaka 20 watalipa Sh.15,000 na yale yenye tani 20 mpaka 30 yatalipia Sh. 20,000.
Huku kwa magari yenye namba za Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jeshi la Polisi (PT), Jeshi la Magereza (MT), magari yakubeba wagonjwa, magari ya zimamoto na magari yenye vibali maalum yataruhusiwa kupita bure.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA



No comments: