sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » SERIKALI YAJA NA MKAKATI WA KUWAWEZESHA VIJANA

Serikali imesema kupitia wadau mbalimbali wameanzisha programu maalum ya kuwawezesha vijana kujikwamua kiuchumi kwa kuweza kuwasaidia kupata fursa ya mitaji na mikopo ili kufanya shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato.

Akizungumza  mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Walemavu, Antony Mavunde amesema lengo la kufanya hivyo ni kuweza kuwatoa vijana kushinda vijiweni bila ya kazi maalumu huku wakilalamikia ukosefu wa ajira.

Mavunde amesema  kupitia Baraza la kuwawezesha Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Shirila la Kazi Duniani (ILO), Plan International ambao wanatoa misaada kwa vijana wasomi na wafanyabishara kwa kuwapa mitaji na mafunzo ya kufanya shughuli mbalimbali za kujiingizia kipato.

Aidha, Naibu Waziri huyo amesema kuwa tayari Wakuu wa Mikoa wameshaambiwa washirikiane na halmashauri zao kwa kutenga maeneo maalumu ya kiuchumi kwa ajili ya vijana ili ya kuwawezesha kupata fursa ya kushiriki katika kuinua uchumi wa nchi yao.

Mavunde amesema kuwa vijana wengi wapo tayari kwa ajili ya kujiajiri lakini wanakumbana na changamoto ya mitaji pamoja na ukosefu wa kufanya shughuli hizo hivyo serikali imeamua kuchukua jukumu la kuwawezesha ili kujikwamua kiuchumi.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply