sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» »Unlabelled » HATUA 3 ZA KUFUATA UNAPOMTONGOZA MWANAMKE

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA 
LOVE STORY AND SMS

Kama unataka kumpata mwanamke unayemzimia bila tatizo lolote basi hakikisha unafuata taratibu hizi,  kwani utapata ujasiri wa kumtongoza mwanamke, kuanzia siku ya kwanza hadi anapokuwa wako.

Hatua #1: Angalia ishara.  Ufunguo wa kutongoza ni kuzijua na kuzivumbua ishara kwa yale anayofanya na kutenda, kuwa makini na stori ambazo anaeleza, mambo ambayo anapenda kuongea na kila kitu ambacho kinaamsha hisia zake. Kumbuka hapa unakuwa makini kwasababu ya mwanamke na wala si wewe hivyo usijaribu kutoa maoni  yeyote bila kufikiria madhara yake.

Hatua #2: Cheza na hisia zake.  Hapa jambo muhimu la kufahamu ni kuwa ni vyema uchague maneno matatu yenye ushawishi ya kumwambia mwanamke, unaweza kubadilisha hisia zake na akakubaliana na matakwa yako, Huu uwezo wa ‘kubadilisha’ hisia za mwanamke ni jambo muhimu zaidi ya yote ikija katika maswala ya kumtongoza mwanamke.

Hatua #3: Mpe uhakikisho. Kila mwanamke (hata kama ni mrembo kiasi gani ama ‘amekamilika’ mbele ya macho yako) huwa wana hulka ya kutojiamini ndani yao ambapo kunahitajika kupewa uhakika kwa njia moja au nyingine. Hivyo, jambo muhimu la kuzingatia wakati unampa uhakika ni pale ambapo utakuwa mkweli.

Kumwambia kuwa ana macho mazuri hakutasaidia; hii ni kwa sababu maneno kama haya yashatumika mara kwa mara na kila mwanaume anatumia maneno hayo hayo. Kumpongeza na kumpa na kumuhakikishia kwa jambo ambalo hajiamini nalo kutamfanya akuthamini na kumuweka karibu na yeye zaidi na kama umefuata hatua hizi mbili za kwanza vizuri basi hautakosa kupata jambo ambalo litampendeza.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply