sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » KWA MWEZI 1 TRA IMEKUSANYA FEDHA KWA 101%, RIPOTI NZIMA IKO HAPA

Mamlaka Ya Mapato Tanzania TRA Imekusanya na kuvuka lengo la mapato katika kipindi cha mwezi Machi 2016 Kwa Kukusanya Shilingi Trilioni 1.316 ambayo ni sawa na asilimia 101.0 ya lengo la kukusanya sh trilioni 1.302

Akisoma ripoti hiyo Jijini Dar es salaam Kamishna Mkuu Wa Mamlaka Ya Mapato Tanzania Alphayo Kidato Amesema Makusanyo Hayo Ni Mwendelezo Wa Juhudi Zinazotokana Na Mikakati Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano, Kuvuka Malengo Ya Kila Mwezi.

Hivyo ili Kuchochea Maendeleo Kamishna Mkuu Kidata Amesema Ni Vyema Wafanyabiashara Kusajili Biashara Zao Mara Moja Kupitia Ofisi Za TRA, huku akiwataka wanaofanya biashara za magendo waache mara moja kwani wanaipotezea mapato serikali.


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp



TWITTER    

LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana


LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply