sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MAJALIWA ALALAMIKA JUU YA UINGIAJI HOLELA WA WAGENI



Kassim-Majaliwa-Waziri-Mkuu-Mteuli-wa-Serikali-Awamu-ya-Tano

Waziri Mkuu aliyasema hayo jana mjini Bukoba baada ya kupokea taarifa ya mkoa kutoka kwa mkuu wa mkoa, John Mongella, alipoanza ziara ya siku nne mkoani humo. Alisema upo udhaifu mkubwa katika kudhibiti uingiaji holela wa wageni katika wilaya za Missenyi, Kyerwa, Ngara na kidogo Biharamulo, hali inayotishia ustawi wa wilaya hizo, mkoa na Taifa.

“Uhamiaji mmekuwa chanzo cha kuingia watu kuholela. RIO (Mkuu wa Uhamiaji wa Mkoa), na wenzako wa wilaya mbadilike mara moja kulinda nchi,” alisema Majaliwa. Alisema uingiaji holela wa watu utaleta matatizo makubwa ikiwamo kuhatarisha usalama wa nchi, kuongeza idadi ya watu na ongezeko la bajeti hivyo kuathiri utoaji wa huduma kwa Watanzania.

Alisema mipaka ya nchi inapaswa kulindwa na kudhibitiwa. Aidha, alisema kumekuwa na mauaji ya wananchi Watanzania katika ranchi ya Missenyi ambayo kuna mifugo kutoka nje.

Aliitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Uhamiaji kudhibiti hali hiyo. “Serikali isingependa kurejesha ile operesheni ya mwaka 2012 na 2013. Ikibidi tutaanzisha tena,” alisema Waziri Mkuu Majaliwa.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

INSTAGRAM           FACEBOOK    GOOGLE +    PINTEREST   TWITTER       

LINKEDIN     DRIBBBLE          NOTJUSTOK



Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply