Barua toka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuziagiza taasisi zote za fedha nchini kuwasilisha taarifa za fedha za Celtel, Zain & Airtel, kuanzia Januari 1 mwaka 2000 hadi Disemba 27, 2017. Taarifa hizi za miaka 17 na miezi 11, zilipaswa kuwa zimeifikia Benki Kuu leo saa tano asubuhi.

jiunge na group la whatsapp kupata habari haraka bofya hapa
KWA HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: