sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » WANAO OGOPA KUINGIA KWENYE NDOA NIKKI WA PILI KATOA USHAURI

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


FROM nikkwapili - He he me sio mshauri..wanao ni Dm...kuuliza abt ndoa (marriage)....this is what i think...kuhusu ndoa....ndoa baada ya muda wengi huona kama kifungo, kikwazo cha kumkosa msichana yule, au jamaa yule, au bata lile na kadhalika......hapa wana miss the point.....kumbuka ukiwa shule ukaambiwa soma....na uachane na mambo kama starehe, movies nakadhalika...na 

leo kitabu kina kunakufaisha na wengi walio babaishwa na mambo mengine wanajuta......sasa ni sawa na ndoa....ndoa sio jela..ndoa ni taasisi muhimu itakayo kulinda thidi ya tamaa za ngono, starehe,.....na kukufanya uwekeze kwenye vitu vya maana future, kazi, biashara nakadhalika.......so kama shule ilivyokuwaga na changamoto za mitihani, fimbo, usingizi, ugumu wa bording ukavumilia na leo unakula matunda....sawa 

na ndoa nayo inachangamoto lakini ukivumilia matunda utayala mema sana sana........so wengi wanao zingua katika ndoa nikwakuwa wameshinda kuelewa hii dhana....na mwishowe huaribu maisha yao, wenzao wao na watoto....yani huwa kama wale waliokataa shule.


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply