UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Picha za matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano wa Wadau wa Benki za Wananchi kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Juni 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Wadau wa Benki za Wananchi kwenye Ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Juni 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Benki za Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma Juni 15, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Benki za Wananchi kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma juni 15, 2016.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: