UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Tume ya uchaguzi katika jimbo la Wisconsin nchini Marekani limepokea ombi la kurudiwa kuhesabu kura za uchaguzi uliopita ambapo mshindi alikuwa Donald Trump aliyeshinda kwa kura chache wiki mbili zilizopita.
Ombi la kurudiwa kuhesabu kura liliwasilishwa na mgombea wa urais kupitia chama cha Green Party Jill Stein ambaye pia ametaka kura zirudiwe kuhesabiwa katika majimbo ya Michigan na Pennsylvania.
Hata hivyo ikiwa Hillary Clinton atashinda jimbo hilo hakutabadilisha matokeo ya ushindi wa Trump kwani lina kura 10 pekee za wajumbe wa uchaguzi.
Kamisheni hiyo imethibitisha kupokea maombi hayo na kuainisha kutoa maelekezo muda si mrefu.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu
akubariki sana
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: