UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Miongoni mwa ugonjwa ambao unawaumiza Watu wengi akili ni juu ya Saratani, Umekuwa ni ugonjwa ambao unaogopesha sana mtu anapo uguwa hata kuliko maambukizi ya UKIMWI.
Kwaupande wa Wanawake, Basi nikizungumzia saratani ya Titi/Matiti basi wengi wanaanza kustuka kuwa inawapata kwa namna gani!
Dalili za Saratani ya Matiti ni, Uvimbe wowote au kuongezeka kwa unene wa ngozi kwenye makwapa au titi, Umajimaji wowote unaotoka kwenye chuchu ambao si maziwa, Mabadiriko yoyote ya rangi au ngozi ya titi, na au Chuchu iliyodidimia kwa njia isiyo ya kawaida au inayowasha.
Ericka Hart ni miongoni mwa wanawake ulimwenguni ambao wamejichukulia umaarufu sana baada ya kuuguwa saratani ya matiti na kutolewa matiti yake yote ili tu aweze kuishi na asife kutokana na ugonjwa huo.
Akiwa tu na umri wa miaka 28, Ericka Hart, alipatwa na saratani ya matiti. Ila alipo pona aliamua kuanza kupost picha za kuonyesha mwili wake kwa kumaanisha kuwa kuumwa saratani ya matiti kisha yakatolewa sio mwisho wa urembo.
Kama anavyo sema “I want people to see breast cancer survivors as not only warriors, but sexy AF” pia akizungumzia ujasiri wake wa kuishi, Hapa anasema “When I was diagnosed with breast cancer, I was more concerned/sad /in mourning about my hair falling out than losing my breasts. I’m done posting for the day. I just love this photo series so much that I had to share. Thank you so much”
Hizi ni picha zake za ambazo zimezagaa mtandaoni akiwa ‘mtupu’.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu
akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp
/ Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA


No comments: