UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na India unaonekana kuzidi kuimarika baada ya Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pamoja na kuwepo nchini pia atapata nafasi ya kuzungumza na Rais Magufuli kuhusu ushirikiano wa Tanzania na India.
Baada ya kuwasili nchini, Modi aliandika ujumbe katika akaunti yake ya Twitter kwa lugha ya kiswahili, ujumbe ambao ulikuwa ukionyesha matumaini mapya aliyonayo ya mahusiano kati ya nchi yake ya India na Tanzania.
“Nimefika Tanzania. Nina matumaini makubwa kuhusu ziara hii na nina imani itafungua mwanzo mpya katika mahusiano baina ya India na Tanzania.” aliandika Modi.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: