sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » NGONYANI : SERIKALI YA MAGUFULI SI YA MCHEZO

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KILA SIKU 
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Injinia Edwin Ngonyani amesema kwamba Serikali ya Awamu ya Tano ikisema jambo inamaanisha na ikiahidi inatenda kama ilivyoahidi hivyo wananchi waiamini.

Ngonyani ameyasema hayo Bungeni alipokuwa akijibu swali la Mbunge Juma Nkamia (CCM) kuhusu kipande cha barabara kutoka chuo cha Mipango Dodoma kwenda Msalato kiasi cha kilomota 8 na zaidi ambapo ziliahidiwa kujengwa kwa lami hadi sasa bado hazijafanyiwa kazi.

Akijibu swali hilo Naibu Waziri wa Ujenzi Ngonyani amesema serikali ya CCM ikiahidi inatenda hivyo kwenye barabara hiyo mkandarasi atawasili muda wowote katika eneo la kazi baada ya kumaliza kulipwa stahiki zake.

LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply