sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » NGONO ZEMBE CHANZO CHA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI


UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
ELIMU YA AFYA ZETU

Zaidi ya asilimia 70% ya wanawake nchini wanamaambukizi ya Virusi aina ya Human Papilo (HPV) vinavyosababisha ugonjwa wa Saratani ya Shingo ya Kizazi.

Takwimu zinaonesha zaidi ya asilimia 80% ya wanawake wenye ugonjwa huo hufariki ndani ya miaka mitano kwani wengi wao hufika hospitali wakati ugonjwa umeshafika hatua za juu; hayo yamebainishwa na Dk. Walter Kweka Bingwa wa Magonjwa ya Saratani kutoka Asasi isiyo ya Kiserikali Tanzania Social Outreach Initiative (TASOI) inayojumuisha nguvu za kiweledi, taaluma na uzoefu mbalimbali wa kundi la Watanzania wanaoshirikiana katika kutatua changamoto zinazojitokeza.

Aidha Dk. Kweka ameongeza kuwa tafiti zinaonesha kuwa wanawake wapya wa Kitanzania zaidi ya elfu saba hupata Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa mwaka huku 4,216 kati yao wakifariki dunia.

salatani

Tafiti zinaonesha Saratani ya Shingo ya Kizazi huambukizwa kwa njia ya ufanyaji ngono, hivyo wanawake wameshauriwa kuwa na tabia ya kufanya uchunguzi kwa kupima afya zao mara kwa mara kwani kila mwanamke aliyekwisha fanya ngono ana hatari ya kupata ugonjwa huo.


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply