sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » BEI ZA KUPITA JUU YA DARAJA LA KIGAMBONI ZIMETANGAZWA LEO KWA MAGARI, BAISKELI NA PIKIPIKI

UNGANA NALINK CLASSIC KATIKA KIPENGELE CHA HOT NEWZ

Tayari Dar es salaam imeanza kufurahia urahisi wa kuvuka bahari kwa urahisi zaidi kwenye safari kati ya Kigamboni na Town Dar es salaam ambapo daraja lilivyozinduliwa tu tuliambiwa tutalipia ila hatukutajiwa bei, leo May 10 2016 ndio bei zimetajwa na unaweza kuzipata hapa chini.
Kaongea Injinia Joseph Nyamwuhanga kataja kila kitu >>> ‘Shughuli za kutoza fedha zitasimamiwa na shirika la NSSF na tumeweka tozo kwa watumiaji wa aina mbalimbali mfano Magari na Pikipiki na kila mmoja atalipa kulingana na aina ya chombo chake’
‘Kwa waendao kwa miguu wataendelea kupita bure mpaka Serikali itakapoweka utaratibu tofauti, wenye baiskeli tozo itakuwa shilingi 300/= ila kwa sasa watapita tu bure mpaka tutakapowatangazia siku ya kuanza kulipa, kwa wenye pikipiki watalipa shilingi 600/=, Baiskeli za miguu mitatu (Guta) watalipa shilingi 1500/=’   <<thelinkclassic.blogspot.com/ >>
Mikokoteni watalipa shilingi 1500/=, Pikipiki za Miguu mitatu ambazo ni Bajaji watalipa Tsh. 1500/=, Gari ndogo (Saloon Cars) watalipa kwa shilingi 1500/= Magari aina ya Pick-Up yasiyozidi tani mbili yatalipa shilingi 2000/=, (Minibusesmabasi madogoyanayobeba abiria wasiozidi 15 yatalipa shilingi 3000/=, Mabasi yanayobeba abiria kati ya 15 -29 yatalipia Tsh. 5000/=, Tractor ni Tsh. 7000/= <<thelinkclassic.blogspot.com/ >>
Tractor yenye trailer lake hao watalipa shilingi 10,000/=, Magari yenye uzito wa tani 2 mpaka 7 watalipia 7000/=, magari yenye uzito wa tani 7 mpaka 15 watalipia 10,000/=, magari yenye uzito wa tani 15 mpaka 20 watalipia 15,000/=, magari yenye tani  20 mpaka 30 watalipia shilingi 20,000/=, Semi  Trailer kama magari yanayobeba mafuta  yatalipia 30,000/=, Truck Trailer watalipia shilingi 30,000/=
LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

+255 (0) 652989873 whatsapp

TWITTER    
LINKEDIN     DRIBBBLE

Karibu sana
LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply