UNGANA NA
LINK CLASSIC
KATIKA KIPENGELE CHA
HOT NEWZ
hama cha Forum for Democratic Change kilitangaza hivi karibuni kwamba kitaanzisha maandamano ya kupinga ushindi wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla ya kuapishwa kwake Mei 12 mwaka huu.
Kufuatia taarifa hiyo serikali ya nchi hiyo imepiga marufuku ya kufanya maandamano au kupinga ushindi wa mwezi Februari wa Rais Museveni hadharani.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ambaye alitarajiwa kuongoza maandamano amewekewa kizuizi tena nyumbani kwake na haruhusiwi kutoka nje.
Aidha Mji wa Kampala umezingirwa na wanajeshi huku vyombo vya habari vikiarifiwa kutokufanya matangazo ya moja kwa moja kuhusiana na kupingwa kwa ushindi wa Rais Museveni.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa
kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia
endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya
Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea
website hii
Pia
waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini
+255
(0) 652989873 whatsapp
Karibu sana
LINK CLASSIC
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: