sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » WALIMU WANAO TUHUMIWA KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAFUNZI WAUNDIWA TUME


Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mkoa wa Mwanza kimeunda kamati kuchunguza tuhuma dhidi ya baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari Mihama wilayani Ilemala kujamiiana na wanafunzi wao.

Mwenyekiti wa CWT mkoani hapa, Sibora Kisheri alisema wameunda kamati hiyo baada walimu wanane, akiwamo mkuu, Joseph Marifedha kusimamishwa kazi kwa amri ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa huo, Magessa Mulongo kwa tuhuma hizo.



“Haiingii akilini kuona walimu wote wakawa na sifa ya makosa yanayofanana, hivi hakuwapo hata mmoja aliyeshtukia mchezo huo na kuwashauri wezake,” alisema Kisheri.

Alisema uchunguzi huo unalenga kubaini kiini cha tuhuma hizo na kuishauri Serikali na vyombo husika hatua stahiki za kuchukua kuhakikisha kila upande unatendewa haki.

Aliwaasa walimu kufuata sheria, kanuni na misingi ya kazi kwa kutimiza wajibu na kuepuka mambo yanayokinzana na taaluma hiyo.

Hivi karibuni Mulongo aliwasimamisha walimu hao baada ya kupata taarifa kuwa walikuwa wakijihusisha na vitendo hivyo.


LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii

Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

INSTAGRAM           FACEBOOK    GOOGLE+    PINTEREST   

TWITTER       LINKEDIN     DRIBBBLE   NOTJUSTOK



Karibu sana


LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply