sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » NAPE AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAAFISA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihutubia kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro, Nape aliwataka maafisa habari.


Meneja wa Mawasiliano wa TCRA Ndugu Innocent Mungi (kulia) akizungumzia umuhimu wa kuwezeshwa kwa vifaa na elimu inayoendana na nyakati kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipitia kwa umakini baadhi ya nyaraka zenye hoja za kuboresha ,kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel na kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Morogoro mjini Ndugu Afred Shayo wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.


Sehemu ya wadau waliohudhuria  na kushiriki kwenye ufunguzi wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.


Maafisa wa Habari na Mawasiliano wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na washiriki wa Kikao kazi cha Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini kilichofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta Morogoro.
LINK CLASSIC: Asante sana kwa kutembelea Website hii coz ni moja ya Support kwetu mungu akubariki sana pia endelea kusoma na kufungua LEBAL zingine kwani kuna vingi vizuri zaidi ndani ya Website hii bila kusahau kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki zako kutembelea website hii
Pia waweza kuwasilina nasi au kutufollow hapa chini

INSTAGRAM           FACEBOOK    GOOGLE+    PINTEREST   

TWITTER       LINKEDIN     DRIBBBLE   NOTJUSTOK



Karibu sana


LINK CLASSIC

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply