sponsor

Slider

EMBROIDERY, DTF, & SCREEN PRINTING - T-shirt, Overall, Shirt , Pylon, Kofia Nk..


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » YANGA KUIVAA MBAO FC BILA IBRAHIM AJIBU

Pamoja na wachezaji kadhaa majeruhi ambao itawakosa katika mechi yao dhidi ya Mbao FC, Jumapili, Yanga itamkosa Ibrahim Ajibu. Yanga haitamtumia Ajibu katika mechi dhidi ya Mbao FC baada ya kuwa na kadi tatu za njano.
Pamoja na Ajibu, Obrey Chirwa ambaye alianzisha mgomo akitaka kulipwa fedha zake za usajili zilizobaki, wengine itakaowakosa ni Thaban Kamusoko na Donald Ngoma.



KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply