sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MKOMOLA ASAJIILIWA KIMYA KIMYA YANGA


STRAIKA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 'Ngorongoro Heroes', Yohana Mkomola, amesaini mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuichezea Yanga, kuanzia mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Mkomola ambaye ni tegemeo ndani ya Ngorongoro Heroes, alijiunga na Etoile Du Sahel  mwezi Agosti, klabu iliyomchukua kwa makubaliano maalumu ya kumlea kwa sababu alikuwa na miaka chini ya 18 na baada ya hapo, wangemsajili jumla.

Hata hivyo, licha ya tetesi hizo kujulikana, uongozi wa Yanga na Mkomola mwenyewe, wamegoma kuthibitisha na wakidai kama suala hilo lipo, litajulikana tu.

Huo utakuwa usajili wa pili wa Yanga, awali walimsajili Mcongo Fiston 'Festo' Kayembe Kanku kwa mkataba wa miaka mwili



KWA HABARI ZAIDI

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply