sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MAAMUZI YA MAHAKAMA KUHUSU KESI YA DIAMONDI NA HAMISA MOBETTO




Kesi ambayo ilifunguliwa na Hamisa Mobeto siku kadhaa baada ya kupata mtoto na Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu upande wa mtoto imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Hamisa Mobetto dhidi ya Diamond Platnumz, uamuzi huo umetolewa na hakimu baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili.

Diamond aliwasilisha pingamizi kudai kuwa kesi hiyo ilifunguliwa kwa kifungu ambacho sio sahihi ambapo hata hivyo hoja hiyo ilipingwa na Mawakili wanaomtetea Hamisa.

Hamisa Mobetto alifungua kesi hiyo ambapo pamoja na mambo mengine aliomba Mahakama imuamuru Diamond Platnumz atoe matunzo ya milioni tano kila mwezi kwa mtoto waliezaa, ishu nyingine ilikua ni Hamisa kutaka Mahakama imuamuru Diamond amuombe msamaha kwa kusababisha madhara yaliyoishtua familia yake.

Kwenye kesi hiyo Diamond Platnumz kupitia Mawakili wake alipinga maombi ya kudai shilingi milioni 5 kila mwezi kwa kusema kwamba ni pesa nyingi na yeye hawezi kuimudu…….. hatujui kama Hamisa atakata rufaa au ataridhika na maamuzi haya ya Mahakama.

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply