Glasi ya maji ya Uvuguvugu.
UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
- - pumu= asthma
- - shinikizo la damu= hbp
- - migraine / kichwa= migraine/ headache
- - ugonjwa wa sukari= diabetes
- - upungufu wa damu= anemia
- - maumivu nyuma= back pain
- - mawe katika figo= urinary calculus
- - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection
- - cholesterol= cholesterol
- - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis
- - kiharusi =stroke
- - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness
- - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue
- - tonsili =tonsillitis
- - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)
- - mafua/homa =colds, flu & fever
- - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep)
- - kichome kwenye roho= heartburn
- - kidonda tumboni =stomach ulcer
- - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation
- - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism
- - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)
- - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)
- - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain)
- - maradhi ya moyo =heart disease
- - saratani= cancer
- - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period
Kunywa glasi mbili ya maji ya Uvugvugu asubuhi unapo amka kabla ya kwenda chooni kupiga mswaki na kabla ya kula chochote na unapo maliza kupiga mswaki kunywa tena
Maji ya Uvuguvugu glasi 1 na kaa kwa muda wa saa 1 ndio waweza kula chakula cha asubuhi. Na wakati wa mchana kunywa tena glasi 2 kabla ya kula kitu kisha kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula cha mchana. Na wakati wa usiku kabla ya kula chakula
cha usiku kunywa tena Maji ya Uvuguvugu glasi 2 kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula. kabla ya kulala kunywa glasi 1 ya Maji ya Uvugvugu kisha waweza kulala. Fanya hivyo kila siku katika maisha yako maradhi yote yatakuondokea kabisa utapona.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA HABARI ZAIDI"
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: