sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » SABABU YA WATU WENGI KUPENDA UMBEA HII HAPA


UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Ni ukweli usiofichika kwamba, haipendezi kumsema mtu au kumteta lakini imekuwa vigumu kujizuia na hali hii inatokea kazini, kwenye mitaa na hasa pale wanapokutana watu wenye hamu hiyo ya kupenda kuteta wenzao bila kuwa na sababu maalumu, hali hii inaelezwa na Mwanasaikolojia  Cécile Guéret.


Pamoja na kuwa na tabia hii lakini Mwanasaikolojia Cécile Guéret kutoka Ufaransa ana mawazo tofauti kuhusiana na tabia ya mtu mmbea

Wengine wanakuwa na tabia hii kwa sababu ya kutaka kushirikisha marafiki zao nini kinaendelea kuhusu maisha yao au maisha ya mtu fulani na hii imesemwa na Mwanasaikologia Frédéric Fanget kwamba “Ni njia ya moja kwa moja ya kuzungumza vizuri mwenyewe, na wasikilizaji wako, pia ni furaha ya kufanya udadisi wa wengine wanapenda habari zao zijulikane”.

Hata hivyo, umbea unahatarisha amani mahali husika na vilevile unasababisha chukizisizo za msingi kwenye makazi ya watu hasa kwenye mitaa, kazini na sehemu zilizo na mkusanyiko wa watu wengi.

Umbea unaharibu sifa ya mtu husika, kwani ni vigumu sana kurudisha heshima ya mtu pale atapojulikana kama ana mambo ya kusema umbea au kuteta watu, hapa Mwanasaikolojia Bègue kutoka Ufaransa amesema wengine hupenda kuteta kwenye hali ambayo ya uonevu, pale unapokuwa unahisi unaonea au kunaonewa, unaweza ukateta na mwenzio ili kuweza kujadili lile jambo husika ili kuweza kupunguza manung’uniko ya moyo


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana


Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply