UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
1. Lazima awe na mfumo wa kujiwekea akiba.
2. Hawapendi kuwalalia wengine (Kuwategemea)
3. Hupenda majukumu.
4. Hawahisi kushindwa ata kama mambo hayaendi vizuri.
Wanaposhindwa katika mipango hayo hawakimbii, wanaamka na kuanza kujipanga upya na kuhakikisha hawashindwi tena.
5. Hawakai katika makosa yao.
6. Hawakubali kushindwa na historia/background zao.
7. Hawategemea bahati na nasibu ili kufanikiwa au kutatua matatizo hayo.
8. Hujifunza katika makosa na changamoto wanazopitia.
9. Ni wabunifu katika bageti zao.
10. Hawatafuti maadui.
Wanajenga madaraja na sio ukuta.
11. Hawaruhusu viburi ama hisia zao kusimama katika njia zao.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu
akubariki sana
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: