sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » RAIS MAGUFULI ALISHUKIA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT KWA KUSHINDWA KUKAMILISHA KWA WAKATI UTENGENEZAJI WA MADAWATI

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Rais John Magufuli amelishukia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Magereza kwa kushindwa kukamilisha kwa wakati utengenezaji wa madawati 120,000 wakati yana askari na idadi kubwa ya wafungwa wanaoweza kuifanya kazi hiyo kwa muda mfupi.


Huku akisisitiza kuwa utengenezaji wa madawati ni operesheni maalumu, Dk Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, alitishia kutoidhinisha fedha nyingine kwa majeshi hayo kwa ajili ya kukamilisha utengenezaji wa awamu ya pili ya madawati 60,000.

Kiasi cha Sh6 bilioni kilichotumika kutengeneza madawati yote 120,000 kimetokana na Bunge kubana matumizi na kurejesha serikalini fedha zilizokuwa hazina umuhimu na kumkabidhi Rais, Aprili 11 kwa ajili ya kutengeneza madawati nchi nzima. Wakati akipokea hundi ya fedha hizo, Rais Magufuli aliagiza Magereza na JKT kutengeneza madawati 120,000 huku kila moja likigharimu Sh50,000.


Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana

+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply