sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » ONGEZA NGUVU ZA KIUME NA STAMINA KITANDANI KWA KULA GONGWE AU NYANYA CHUNGU

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA


Ngogwe au nyanya chungu ni mboga abayo inafahamika sana

 miongoni mwetu na baadhi yetu tumekuwa tukiitumia katika mlo.


Leo nimeona nikuletee hizi faida mbili za matumizi ya nyanya chungu.

Ngogwe au nyanya chungu husaidia sana katika kuongeza nguvu za   uzazi kwa wanaume na inatibu pia wale wenye ugonjwa wa ngiri.

Mbali na sifa hiyo ya ngogwe / nyanya chungu pia husaidia kuongeza stamina na uwezo wa kuvumilia na kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu kati ya mume na mke wote endapo watakuwa wanatumia nyanya chungu katika utaratibu unaotakiwa kitaalam (mchemsho) .

Mbali na hayo, ngogwe ni dawa inayofanana na antibiotic, hivyo ni tunda zuri endapo likitumiwa mara kwa mara husaidia kuua vijidudu vya aina mbalimbali mwilini.

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana

+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 




"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply