sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » KUWAIT YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA VIFAA VYA AFYA & MAFUNZO KWA WATAALUM WA AFYA

Ummy Mwalimu na Balozi wa Kuwait

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

Neema ya misaada kutoka kwa nchi marafiki inataraji kuendelea kupokelewa nchini baada ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Al- Najem.
Katika mazungumzo yao Balozi Al-Najem ameahidi kuendeleza uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Kuwait katika kusaidia sekta ya Afya kwenye maeneo ya huduma ya Afya ya mama na mtoto upande wa upatikanaji wa vifaa vya kujifungulia(Delivery Kits) vitakavyotolewa kwa wajawazito bila malipo.
Pia balozi Al-Najem aliongeza kuwa wataendelea kusaidia upatikanaji wa dawa na vifaa tiba pamoja na kutoa mafunzo kwa madaktari kwa kubadilishana wataalam kwa kipindi maalum.
Aidha Balozi huyo ameahidi kuisadia taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ili kuboresha utoaji wa huduma.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply