UNGANA
NA
LINK CLASSIC
KILA
SIKU KWA HABARI MPYA
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kufanyika katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akiwashukuru wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kujumuika naye katika futari aliyowaandalia jana na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kufanyika katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwaongoza wabunge kupata futari iliyoandaliwa na Wazri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akisikiliza neno la shukrani kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Azzan Zungu akitoa neno la shukrani kwa Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma jana.
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Mhe. Andrew Chenge akitoa neno la shukrani kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kumalizika kwa hafla ya futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu na kufanyika katika viwanja vya Bunge jana mjini Dodoma.(PICHA NA ISMAIL NGAYONGA- MAELEZO).
Asante sana kwa kutembelea
Website hii Mungu akubariki,
+255 (0) 652989873 Whatsapp
/ Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE
PAGE ZETU
KWA
HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: