UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Wakati serikali ikifanya jitihada za upatikanaji wa sukari kwa wingi kote nchini na wafanyabiashara kutakiwa kuuza kwa bei elekezi, wafanya biashara wilayani Makete mkoani Njombe wametakiwa kuacha tabia ya kununua sukari kwa bei ndogo na wao kuiuza kwa bei kubwa.
Wito huo umetolewa na katibu wa jumuiya ya wafanyabiashara wiliyani Makete Bw, Andrea Sanga alipokuwa akizungumza na mwandishi wetu na kusisitiza kuwa wafanyabiashara waache tabia ya kuuza bidhaa hiyo ili wapate faida kubwa.

Bw. Sanga pia amezungumzia juu ya utofauti wa bei wanayonunulia wafanyabiashara na wanayouzia wateja.
Aidha kwa upande wake mwenyekiti wa jumuiya hiyo ya wafanyabiashara Bw, Hosea Mpandila ameishauri serikali kudhibiti bei kutoka kiwandani ambapo itaisaidia kuthibiti mfumuko wa bei na kuathirika kwa mwananchi ambaye ni mtumiaji mkubwa wa sukari.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: