UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA
Baada ya aliyemtukana Magufuli facebook, Isaac Abakuk kuamriwa kutoa faini ya milioni 7 na Mahakama Kuu kanda ya Arusha na wadau mbalimbali wakamchangia milioni 4.5, Sasa mtanzania mwingine wa pili kushtakiwa ni Leonard Mulokozi Kyaruzi ambaye anakabiliwa na mashtaka baada ya kusambaza maoni yake kwenye mtandao wa WhatsApp yanaomtusi rais Magufuli, Kyaruzi ameshtakiwa chini sheria uhalifu wa mtandaoni.
Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE PAGE ZETU
"KWA
HABARI ZAIDI "
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: