sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » HAICE YAUA MTU MMOJA HUKO MKOANI SONGEA

ajali (1)
Gari lilivyopata ajali.

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

MTU mmoja ambaye hakufahamika jina lake aliyekuwa akiendesha baiskeli amegongwa na gari ndogo ya abiria aina ya Toyota Hiace na kufa papo hapo maeneo ya Mfaranyaki mjini  Songea mkoani Ruvuma leo.

ajali (2)
Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari la polisi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa, gari hilo lilikuwa na abiria zaidi ya kumi waliokuwa lilikuwa likitoka Songea kwenda Peramiho, na chanzo cha ajali hiyo ilikuwa ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa gari hilo ambapo alimgonga mwendesha baiskeli na kusababisha kifo chake  na kisha kumjeruhi mwendesha boda boda ambaye alikimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kwa matibabu.
ajali (3)
Gari lilivyopata ajali.
Kufuatia ajali nyingi kutokea eneo hilo la Mfaranyaki katika Daraja la Mkomi, wananchi wameiomba serikali kuweka matuta kwenye eneo hilo ili kudhbiti mwendo wa madereva huku wakiwalalamikia madereva wanaokimbiza magari kwa ajili ya kuwahi abiria  na kusababisha ajali.
Aidha Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dk Philisy Nyimbi methibitisha kupokea majeruhi wa ajli hiyo na kusema kwamba wanajitahidi kadri ya uwezo wao kuwahudumia ili wapone.

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply