sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » MAPENZI YA JINSIA MOJA SERIKALI YATOA MSIMAMO JUU YA SWALA HILI


NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Amon Mpanju amesema kuwa mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na serikali ilishaweka msimamo wake katika hilo.

Alisema hayo jana wakati akizungumza katika mkutano wa wadau wa haki za binadamu uliofanyika Dar es Salaam, kujadili mapendekezo ya tathmini ya utekelezaji wa masuala ya haki za binadamu na kuweka mikakati ya kuishawishi serikali kukubali mapendekezo mengine ambayo iliyakataa.

UNGANA NA
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

Mpanju ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, alisema mapendekezo yaliyowasilishwa Mei mwaka huu katika mkutano wa Baraza la Haki za Binadamu uliofanyika Geneva, alisema serikali ilikubali mapendekezo 130 na mengine 72 iliyakataa.

“Sehemu ya mapendekezo hayo serikali iliyakataa kwa sababu kuna mengine yapo kinyume cha Katiba, sheria, mila na desturi zetu, kwani katika mapendekezo hayo yapo yanayotaka mapenzi ya jinsia moja, jambo ambalo haliwezi kukubalika,” alisema Mpanju.

“Hivyo wakati mkijadili namna ya kupanga mikakati ya utekelezaji ili serikali ione umuhimu wa kukubali sehemu ya mapendekezo hayo naomba msijielekeze kwenye yale yaliyo kinyume na imani,” alisisitiza Mpanju.

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
+255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply