UNGANA
NA
LINK CLASSIC
KILA
SIKU KWA HABARI MPYA
Moja ya wapinzani wakuu wa rais Denis Sassou Nguesso katika uchaguzi wa mwaka huu wa Congo-Brazzaville amewekwa kizuizini .
Jenerali Jean-Marie Michel Mokoko , aliyeorodheshwa wa tatu katika uchaguzi uliopita , alikamatwa kwa madai ya kula njama dhidi ya serikali.
Video moja imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo inakisiwa kuonesha akijadili njama dhidi ya serikali.
Wakili wake aliiambia BBC kwamba amekana madaidhidi yake na ilivyoelezwa mashtaka hayo yamechochewa kisiasa.
Rais Sassou Nguesso amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30
Asante sana kwa kutembelea
Website hii Mungu akubariki,
+255 (0) 652989873 Whatsapp
/ Call
Karibuni sana
LINK CLASSIC
LIKE
PAGE ZETU
KWA
HABARI ZAIDI
BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI
CODE HAPA
No comments: