sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » FAIDA 5 ZA KUTUMIA ASALI MARA KWA MARA HIZI HAPA

UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA



HABARI za leo mdau wangu 


msomaji wangu utakuwa upo vizuri napenda kukukaribisha kwa 

pamoja tuweze kuzifahamu hizi faida 5 za asali katika matibabu.

Asali hufanya kazi mbalimbali mwilini ikiwa ni pamoja na kuponya maradhi, lakini pia husifika kwa kuwa na uwezo wa kuimarisha kinga za mwili.

Faida 5 za kutumia asali

1. Kwanza asali huweza kulainisha jipu na kuondosha usaha

2. Pili huweza kutuliza maumivu ya tumbo na kurahisisha umeng'enyaji wa chakula tumboni. Ili tumbo lako liweze kufanya kazi yake vizuri ni vyema ukajizoesha kula asali kijiko kimoja kila siku asubuhi kabla ya kula chochote



3. Husaidia kutibu vidonda hususani vile vya wazi na majeraha yatokanayo na moto


4. Pia asali husaidia kwa wale wenye matatizo ya kifua na mapafu.


5. Asali inauwezo mzuri pia wa kuimarisha kinga za mwili

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
 +255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI "

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply