sponsor

Slider

T - SHIRT PRINTING


LARGER FORMATING

STICKERS BRANDING | LARGE FORMATING


MIFUKO PRINTING

SMALL FORMATING

WEDDING | KITCHEN PART | SEND OFF | INVITATION CARDS

POSTERS | CARTOON | PHOTO PRINTING

» » » DALILI ZA MIMBA HIZI HAPA SOMA KWA UMAKINI


UNGANA NA 
LINK CLASSIC
KILA SIKU KWA HABARI MPYA

Kwa wale wanawake ambao wana kawaida ya kwenda hedhi kila mwezi , dalili ya awali na ya uhakika  ya ujauzito ni kukosa siku. Wakati mwingine wanawake ambao ni wajawazito na  wanapata siku kipindi kifupi sana, hutoka damu kidogo tu. Baadhi ya ishara na dalili nyingine za awali za ujauzito ni hizi hapa chini. Kila mwanamke ni tofauti na si wanawake wote watakuwa wataona  dalili   hizi zote.

Kuhisi kuumwa - baadhi ya wanawake hujihisi kuwa wanaumwa. Wengi huhisi kichefuchefu na kutapika hasa nyakati za asubuhi. 

Kuhisi uchovu-wanawake wengi hujihisi uchovu na mwili kulegea. Hii hufanya wanawake wapende kulala. Mabadiliko ya homoni yanayotokea wakati huu ndio kiini ya matatizo haya.

Kuumwa maziwa-baadhi ya wanawake hujaa na kuumwa maziwa.

Asante sana kwa kutembelea Website hii Mungu akubariki sana
 +255 (0) 652989873 – Whatsapp / Call

Karibuni sana
LINK CLASSIC

LIKE PAGE ZETU 



"KWA HABARI ZAIDI VISIT WEBPAGE"

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD APPS YA LINK CLASSIC USOME HABARI KIRAHISI NA HARAKA ZAIDI

CODE HAPA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply